Mipango na bei
Mipango yote miwili huanza na siku 30 bure. Hakuna kadi inayohitajika.
Shop
KES 299 kwa mwezi
KES 2,990 kwa mwaka
Madeni, mauzo, risiti na ripoti kwa kaunta.
Hadi akaunti 2 za wafanyakazi
Business
KES 699 kwa mwezi
KES 6,990 kwa mwaka
Kila kitu cha Shop, pamoja na bidhaa, faida, wasambazaji, kutoa orodha na wafanyakazi zaidi.
Hadi akaunti 5 za wafanyakazi
Lipa mwaka mzima upate miezi 2 bure. Bei ziko katika shilingi za Kenya.
Kila mpango una nini
| Mpango | Shop | Business |
|---|---|---|
| Madeni na malipo | ||
| Vikumbusho na taarifa za deni | ||
| Kuchapisha kwa printa ya Bluetooth | ||
| Mauzo na risiti | ||
| Ripoti | ||
| Akaunti za wafanyakazi | 2 | 5 |
| Wafanyakazi wanachoweza kuona | Ripoti | Vyote |
| Bidhaa na stoo | ||
| Faida na gharama za bidhaa | ||
| Wasambazaji na oda | ||
| Kutoa orodha ya bidhaa (PDF, CSV) |
Jinsi kulipa kunavyofanya kazi
Fungua Mpango ndani ya programu, chagua mpango na muda, kisha ukubali ombi la M-Pesa kwenye simu yako. Siku zako huongezwa mara moja. Mpango ukiisha, bado unaweza kusoma rekodi zako zote.