Pakua Salio

Salio inafanya kazi kwenye simu za Android.

Google Play: inakuja hivi karibuniPakua moja kwa moja

Inasakinishwa kutoka tovuti hii. Simu yako inaweza kukuomba kuruhusu usakinishaji kutoka kwenye kivinjari, hilo ni kawaida.

Kusakinisha upakuaji wa moja kwa moja

  1. Gusa Pakua moja kwa moja na ufungue faili likimaliza.
  2. Simu ikikuuliza, ruhusu kusakinisha kutoka chanzo hiki.
  3. Fungua Salio na utengeneze duka lako. Inachukua kama dakika moja.

Bado hakuna toleo la iPhone.